Uongozi wa Shule

Viongozi na Wasimamizi wa Shule ya Sekondari Tingatinga

Utawala

Mwl. Gilbert Godian

Makamu wa Shule

Msaidizi mkuu wa Mkuu wa Shule katika uratibu wa kazi za kila siku za utawala na nidhamu ya jumla.

+255 763 765 551

Taaluma

Mwl. Fernandes Kachewa

Mwalimu wa Taaluma

Anaratibu ratiba za masomo, mitihani, mitaala na maendeleo ya ki-taaluma ya wanafunzi.

+255 710 769 791

Nidhamu

Mwl. Blass Ombay

Mwalimu wa Nidhamu

Anasimamia taratibu, sheria za shule na kuhakikisha usalama na maadili mema shuleni.

+255 796 077 793

Afya & Chakula

Mwl. Mathew Hilary

Mwalimu wa Afya na Chakula

Anasimamia ustawi wa afya ya wanafunzi, usafi wa mazingira, pamoja meza na lishe ya shule.

+255 788 917 343

Michezo & Sanaa

Mwl. Nickson Chombe

Mwalimu wa Michezo

Anaratibu michezo mbalimbali, mashindano ya UMITASHUMTA/UMISSETA na vipaji vya wanafunzi.

+255 743 314 364

TEHAMA / ICT

Mwl. Victor J Kiria

Msimamizi wa TEHAMA

Anasimamia mifumo ya kompyuta, tovuti ya shule, na mafunzo ya teknolojia kwa wanafunzi na walimu.

+255 615 171 227